babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Atakua dealer huyo anaumia kimoyo..anyway pole yake..pongezi kwa serikali kuendelea kupambana na biashara hii inayoumiza vijana wengi duniani na kupoyeza nguvu kazi.Umeandika nini nje ya habari?
Hujaelewa nini habari na nilichoandika vinajieleza.Umeandika nini nje ya habari?
Hujaelewa nini habari na nilichoandika vinajielezaUmeandika nini nje ya habari?
Serikali inafanya vyema kupambana na mihadarati.Serikali inafanya vyema sana kupambana na wahuni hawa wanaoingiza mihadarati kutuangamizia nguvu za kazi, pongezi zangu za dhati kwa Kamishina wa Madawa ya Kulevya na timu nzima ya inteliigency iliyofanikiwa kukamatwa shehena hizo za madawa ya kulevya.
Ni kawaida sana hiyo, shehena nyingi pia huwa zinateketezwa katika kiwanda cha sement cha wazo pale na tukio zima huwa chini ya ulinzi mkali vilevile.Hujaelewa nini habari na nilichoandika vinajieleza
Serikali inafanya vyema kupambana na mihadarati.
Nilishangaa inakuwaje ikateketezwe kiwanda cha sementi?
Kienyeji tu.
Zamani tuliona ulinzi mzito wakiteketeza hiyo vitu.
Na walifanya wao wenyewe polisi.
Kama kuna wanigeria pale, asilimia kubwa zitarejea mtaani!
nimeishia kutoa macho tu,zinateketezwaje?
imekua sio kazi ya polisi tena kuteketeza ila kampuni binafsi?
hata ulinzi hakuna pale.
hamna namna ingine ya kuteketeza wanapeleka kule kule tena buchani mbuzi afie hapo.
Wanacho hitaji ni tanuru (kiln) ndio maana wanachomeaga kwenye viwanda vya Cement. Huwezi kuchomea nje kama nyasi
nimeishia kutoa macho tu,zinateketezwaje?
imekua sio kazi ya polisi tena kuteketeza ila kampuni binafsi?
hata ulinzi hakuna pale.
hamna namna ingine ya kuteketeza wanapeleka kule kule tena buchani mbuzi afie hapo.
ok umeona ulinzi pale?mi nimeona tu vibarua wanadumbukiza vipaketi ndani mle ya mashine aiseeNi kawaida sana hiyo, shehena nyingi pia huwa zinateketezwa katika kiwanda cha sement cha wazo pale na tukio zima huwa chini ya ulinzi mkali vilevile.
hiyo inaweza pigwa ikarudi mtaani, pale maigizo tu.
ndo hivyo tena robo tani mpopo yule aiunguze hivi hiviKumbe ule utajiri si bure, ndiyo maana!
Nasikia amejipatia tender ya kuyanunua ili akayateketeze! 🙂hiyo inapigwa inarudi mtaani, pale maigizo tu.
Mkuu hao wanaobeba hizo dawa unawafahamu? Unauhakika kulikuwa hakuna ulinzi?ok umeona ulinzi pale?mi nimeona tu vibarua wanadumbukiza vipaketi ndani mle ya mashine aisee
Kwa comment hii hupaswi kuelimishwa your mind has been poisoned already, pole sana kijana.hiyo inapigwa inarudi mtaani, pale maigizo tu.
ok labda hilo ndo uniambie wewe mi naona raia tu pale wakifanya kazi kutupia vifurushi mle basi mengine sijaonaMkuu hao wanaobeba hizo dawa unawafahamu? Unauhakika kulikuwa hakuna ulinzi?