Cocaine na Heroine zinateketezwa kiwanda cha Dangote mkoani Mtwara

Cocaine na Heroine zinateketezwa kiwanda cha Dangote mkoani Mtwara

ok labda hilo ndo uniambie wewe mi naona raia tu pale wakifanya kazi kutupia vifurushi mle basi mengine sijaona
Kwa ufupi sio raia boss wangu ukiweza tambua muundo wa mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya huwezi tilia shaka zoezi zima lililofanyika jana huko mtwara.
 
Kwa ufupi sio raia boss wangu ukiweza tambua muundo wa mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya huwezi tilia shaka zoezi zima lililofanyika jana huko mtwara.
ok,kama walikuwepo then sina shaka,nilikua nawaza tu kwamba mboa ulinzi hamna.zamani niliwahi kuona wakiteketeza either wazo au kiwanda fulani cha serikali mandela road na polisi walionekana waziwazi na mitutu yao na uniform ndio nikatilia shaka.
anyway ni kuelimishana tu.
 
Ni uchukuaji wa video tu boss wangu, pia kumbuka kwa sasa kitengo hiki kimejitegemea na kuwa mamlaka kamili hivyo kina utaratibu wake mpya wa ufanyaji kazi.
 
Mihadarati huteketezwa kwenye maeneo kama hayo, sijui zaidi ila nahisi kuna facilities za kufanya hivyo….. na sio kwamba yamekamatwa humo kiwandani.
Habari za chinichini, katikati, juujuu, na pembenipembeni zinasema kwamba (?) ameinunua hiyo mihadarati kwa bei ya jumla ili akaiteketeze kabisa! 🙂
 
Back
Top Bottom