Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,327
- 4,374
Ukizubaa tu wako ikulu harafu wanakuanika ๐๐๐Watesi hawatulii, mda wote wako kuchukuchuka,
๐๐๐๐
Ukizubaa tu wako ikulu harafu wanakuanika ๐๐๐Watesi hawatulii, mda wote wako kuchukuchuka,
๐๐๐๐
bado afu kuna baridi sana natamani nipate kitu ๐wewe Nawe hupitwi naniliii.
๐๐๐ mie nitajianika mwenyewee. WoiiiihUkizubaa tu wako ikulu harafu wanakuanika ๐๐๐
Huwa naishia Itigi mie. ๐๐๐wahuni wanataka kukupeleka igunga mapema sana
Sasa km League siiwezi, ning'ang'anie ya nini? Nimejitoa yess.Wanasema umeaga mashindano eti
๐๐๐ kuna nini kwani?Coca mbona hivo mama ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yapi tenaa?maunyama
Hivi iyo avatar Yako hao mbwa mbona wanafanana Tanzania nzima?Ni kosa kubwa mti kukufananisha na demu modes waondoe huu uzi kabisa
USSR
Watu wanataka tuta uko unauliza Maswali tena.Kuna nini tenaa hapa?? Kulikoniii??
Mbugu boraHivi iyo avatar Yako hao mbwa mbona wanafanana Tanzania nzima?
Atodiu Usinitagigi Nyuzi za kiseesee lov
Hii risiti aione SanArtHuyo ni Engineer kutoka CoET at UDSM ni moja kati ya pisi kali sana kutokea Songea mjini, she is very beautful and humble.
Mitaa yake ya kujidai (makazi) ni msamala songea mjini by the time yupo hapa mjini kuendeleza maisha. USIJICHANGANYE HUYO NI JIRANI YANGU.
Mimi nipo hapa Seedfarm Songea.
Karibuni sana Songea mjini.
Duh !Think mambo
Maneno gani yangu mkuu unayotaka uhakika ?Una uhakika na maneno yako mkuu?
Si huyo mnayesema engineerManeno gani yangu mkuu unayotaka uhakika ?