Coco beach Jumapili ya leo ilipendeza

Coco beach Jumapili ya leo ilipendeza

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Ilikuwa siku ya uchovu kwangu baada ya kumalizana na shemeji yenu ma vishughuli vya mjini nikaona nijichanganye kwa waswahili wenzangu ktk ufukwe wa Umma wa coco beach hakika Jpili ya leo ilikuwa tofauti sanaa
Watu walikuwa wengi wakubwa kwa wadogo

Moja kati ya kitu kilinistajabisha ni pale dada mmoja alimzabua kofi mdogo wake wa kike ambae alikuwa anacheza na wale vijana wenye maboyaa eiii yule dada alimkunyuga kofi kale kadogo kake

Tukio lengine ni pale msichana mmoja ambae ikikuwa nusura ampoteze mdogo wake kisa tu huyo dada alikuwa busy na msela wake so waka kakodishia boya kqle katoto na kuka ruhusu kaende majin sasa waliporejea yule manzi nqnyule mshikaj nika wanote walikuwa busy kukatafuta kale katoto waliko karubusu kaende majin...hapo nikasema kweli Penzi kitovu cha uzembe lkn Mungu sio Mukoko bac wale wapenzi waka kapata kale katoto baada kamanya dakika 40 iv.

Kitu kingine ni ile tabia ya wadada wanaojifunga hijab sijui nicab (ninja) na wao wana penda kuyachezea maji ilihal akiwa kavaa vilevile nicab yake ...embu wabadilike bwana ..pale ni beach kuna mavazi yake bwanaaaaa

Kama na ww ulifika coco embu sema uli note kitu gan tofauti
 
Back
Top Bottom