Hadi kodi?Lakini kumbuka mapato yake kwa asilimia kubwa yataenda kwenye zile familia
Watanzania tunaupenda umasikini na kuukumbatiaViongozi wa jiji wafanye tour miami Beach,copacabana Brazil,waende maseychells huko,ma Spain wakajifunze kwenye beach za wenzao
Wapate ideas ,waje wafanye kwao
Ova
Kwa hiyo wewe unataka kila open space iwe ya kulipia? Wascheni watu wajiachie jamani, kila beach ikiwa ya kulipia na watu wa vipato vidogo wakafurahie wapi? Kama ni beach za kulipia mbona zipo nyingi tu.Watanzania tunaupenda umasikini na kuukumbatia
Ndo muisafishe sasaKwa hiyo wewe unataka kila open space iwe ya kulipia? Wascheni watu wajiachie jamani, kila beach ikiwa ya kulipia na watu wa vipato vidogo wakafurahie wapi? Kama ni beach za kulipia mbona zipo nyingi tu.
Hata Kama unakaa kwa shemeji yako, jifunze kuandika vizuri
Like- lile
nn-nini
wataliii-watalii
Nahitaji-mahitaji