Coco Beach pajengwe Shopping Mall

Coco Beach pajengwe Shopping Mall

Watanzania tunaupenda umasikini na kuukumbatia
Kwa hiyo wewe unataka kila open space iwe ya kulipia? Wascheni watu wajiachie jamani, kila beach ikiwa ya kulipia na watu wa vipato vidogo wakafurahie wapi? Kama ni beach za kulipia mbona zipo nyingi tu.
 
Ndo muisafishe sasa
 
Back
Top Bottom