Coco Beach pajengwe Shopping Mall

Coco Beach pajengwe Shopping Mall

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo.

Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari?

Pichani ni Water Front Shopping Mall, Cape Town, SA
 

Attachments

  • images - 2023-07-23T195256.710.jpeg
    images - 2023-07-23T195256.710.jpeg
    42 KB · Views: 7
  • images - 2023-07-23T195241.828.jpeg
    images - 2023-07-23T195241.828.jpeg
    45.9 KB · Views: 2
Hahahaaa...mmeanza kuchokonoa, Mungu anawaona, zao la JPM lijalo mtajuta sababu JPM sidhani kama atakuwa anafika hata robo yake, ni swala la muda tu.
 
Jirani kabisa na Coco-Beach kuna Village Super-Market na Target, wataliii waende huko. Pale Coco-Beach watuache watu tujilie mihogo yetu na sharubati za miwa.

Tukiwaruhusu wataanza na Super-market kesho yake watajimilikisha fukwe nzima na kusingizia uwekezaji kama ambavyo bwana Yusufu alitaka kufanya akabatizwa na Yohana.
 
Kwamba kila eneo la watu wa kawaida kufurahia maisha walau kwa viwango vya bajeti zao, waweke ma mall na mazingira kwa watalii na wenye vipato vya haja tu?
 
Jirani kabisa na Coco-Beach kuna Village Super-Market na Target, wataliii waende huko. Pale Coco-Beach watuache watu tujilie mihogo yetu na sharubati za miwa...
Tukiwaruhusu wataanza na Super-market kesho yake watajimilikisha fukwe nzima na kusingizia uwekezaji kama ambavyo bwana Yusufu alitaka kufanya akabatizwa na Yohana.[emoji817][emoji818]
 
Ili Tanzania iendelee yatupaswa achana na kumbatio la umasikini, masikini, unyonge na wanyonge.

Ile sehemu ikitengenezwa vizuri tutapata zaidi kuliko sasa
 
Ili Tanzania iendelee yatupaswa achana na kumbatio la umasikini, masikini, unyonge na wanyonge.

Ile sehemu ikitengenezwa vizuri tutapata zaidi kuliko sasa
Lakini kumbuka mapato yake kwa asilimia kubwa yataenda kwenye zile familia
 
Hapo coco beach kuna wanyama gani ambao watalii wanahitaji kuwaona....mbona hakuna hata ngedere?
 
Viongozi wa jiji wafanye tour miami Beach,copacabana Brazil,waende maseychells huko,ma Spain wakajifunze kwenye beach za wenzao
Wapate ideas ,waje wafanye kwao

Ova
 
Pawekwe public services za kisasa, ila ibaki open beach and free for all
 
Back
Top Bottom