Coco Beach pesa ya maegesho inaenda wapi?

Kuna siku nilikua naenda pale wavuvi camp mida ya saa 2 usiku eti kufika kwenye kona ili niingie ufukweni na gari.

Nika shangaa yule mkusanya ushuru ana nikomalia ni nilipe buku ili niweze kupita pale saa 2 usiku ujue na ninavyo jua ushuru mwisho ni saa 12 jioni. [emoji15][emoji849]

Nilicho kifanya nili mwambia makavu silipi njoo upige chain gari nikapita zangu huyoo nikaenda kuvua [emoji23][emoji117]
 
unashangaa pesa ya maegesho coco beach. Yani hapo kariakoo unajenga gorofa lako na kuwepa parking ya wateja unashangaa kuna mtu anakuja kusimamia ushuru wa maegesho utazani kwake
Siku hizi, Dar es salaam, mpaka magetini kwenye nyumba za watu, utakutana na watoza ushuru wa maegesho.
 
WaTanzania kwa uchafu hatujambo

Utashangaa mtu mzima kabisa anatupa uchafu barabarani bila wasiwasi

Tujitahidi kufundisha watoto kizazi kijacho angalau wawe wasafi
Kashika kopo la maji, tena kubwa kabisa. Anarusha tu huko. Yuko kwenye boda, anarusha tu kopo barabarani.

Kabisa, watoto wafundishwe. Ni muhimu sana.
 
unashangaa pesa ya maegesho coco beach. Yani hapo kariakoo unajenga gorofa lako na kuwepa parking ya wateja unashangaa kuna mtu anakuja kusimamia ushuru wa maegesho utazani kwake
Sehemu gani kariakoo kuna nafasi ya kuegesha gari mbele ya jengo ambayo unamiliki ww sio sehemu ya barabara ,mnajenga mpk mnamaliza maeneo halafu parking unategemea reserve ya barabara ukileta tamaa ya kumaliza eneo lako lote kujenga frem weka underground parking.
 
Hakuna eneo la mtu linalotozwa hela ya parking maeneo yenu mmemaliza yote kujenga frem road reserve ndio mnasema yenu
 

inaonyesha unatoza ushuru tumekugusa
 
Hakuna eneo la mtu linalotozwa hela ya parking maeneo yenu mmemaliza yote kujenga frem road reserve ndio mnasema yenu
Hiyo road reserve ni mali yako? barabara zimeshajengwa kwa kodi za wananchi lazima watumie na ku-park magari..........nchi zilizoendelea kuna street parking, magari yana park mitaani pembezoni mwa barabara, na unaweza kuliacha gari mwaka mzima na utalikuta lipo palepale, acheni unaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…