Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Habarini wana jamvi
Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga,
Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf.

Hii kwa kiasi Fulani itapunguza uholela Na malalamiko yasiyo ya lazima.

Tungependa kila mmoja wetu ajisikie inclusive ktk mikabala yetu
Na awe Na haki Na kushiriki bila bhugha!

Sasa Basi utaratibu ni huu,
Tutakuwa tunawajulisha nani yupo katika interview siku husika masaa matano kabla,ambayo tutatumia kukusanya maswali Na kuyachambua Na kumtumia interviewed maswali kumi ya msingi ambayo atayaandalia majibu mujarabu.

Kisha nusu saa kabla ya muda rasmi tutabandika Uzi Wa interview, ili kutoa taarifa Na watu kupata nafasi nzuri ya ushiriki.

Mgeni ataulizwa Na host maswali kumi au host atavyoona inafaa kisha
Atairuhusu hadhira (audience) kuuliza maswali ya randomly!

Kwa leo tunataraji cocochanel kuwa
Nasi jioni aghalabu kuanzia saa kumi Na nusu jioni.

Kwa hiyo tunakaribisha maswali ya maana ambayo unadhani linafaa kuwa swali la msingi Na kunufaisha
Wengi.

Asanteni.
Regards,
DJ sepetu.
 
PENDEKEZO; UKISHAMUULIZA HAYO MASWALI KUMI YANATOSHA...baada ya hapo wewe utakuwa unarekebisha hili na lile mfano swali la marudio unamwambia limeshajibiwa na liko kwenye post namba fulani

Tuachie sisi wengine tuendelee, vile vile Mwambie Cocochanel awe anajibu maswali papo kwa papo ndio itafaa zaidi kuliko tuweke maswali yetu hapo yaje kujibiwa baaadae sana kitu ambacho kinakatisha tamaa ambapo muda mwingine unakuta halijajibiwa
 
Numbisa
Shunie
Sakayo
emmyta
Neybright
Linamo
ukhty
@Stablewoman
Njooni na maswali huku leo ni coco baby
Ila kupiga soga hakuruhusiwi[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mamy kwa kuniita sisi kimya ila utawaona tu watu watakavyochit chat we

Muosha masufuria niulizie kwa coco baby ana undugu na makonda au ni boss wake sina la zaidi huwa namkubali tu na misimamo yake huyo mama nitarudi nikiwa na maswali mengine
 
Back
Top Bottom