Kila siku we waingia mjini dada. LolNdo nimeingia mjin leo ilikuwaje kwan
Sawa dada akee huu uzi wetu ujue wa interview umeshaanza huko yaan huku ni nyumbani uzi tumeuteka usiogopeMmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.
Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.
Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Naogopa mwenzio maana jf wote walimu. Chaaaaa.Sio umekimbia povu la watu?
Uzi wa interview uko kule huu wetu bado hatimiliki tu
Mwenyewe naandaa lunch ya keshoMmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.
Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.
Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndio hivyo dada akee wa interview umeshaanza huko[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na wewe umeibuka aiseeee.Jf tunapita tuu mdogo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio umekimbia povu la watu?
Uzi wa interview uko kule huu wetu bado hatimiliki tu
Hivyo huu ni wa kwetu. Kama hivyo sawa kabisaa.Sawa dada akee huu uzi wetu ujue wa interview umeshaanza huko yaan huku ni nyumbani uzi tumeuteka usiogope
Watu hawalijui hilo kabisa halaf kingine uzi upo chit chat ukielewa hilo huwezi pata shidaJf tunapita tuu mdogo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenyewe naandaa lunch ya kesho
Hapo sawa. Ila ubinadamu kazi dada ujue.Ndio hivyo dada akee wa interview umeshaanza huko
Huu wa kwetu kabisa wa kujiachia makutano yetu hukuHivyo huu ni wa kwetu. Kama hivyo sawa kabisaa.
Lunch ya kesho uandae sasa hivi kweli jamanMwenyewe naandaa lunch ya kesho
Kazi sana sana dada akee yaan vinashangaza sanaHapo sawa. Ila ubinadamu kazi dada ujue.
HahahaNa wewe umeibuka aiseeee.
Wanadamu n kazi duWatu hawalijui hilo kabisa halaf kingine uzi upo chit chat ukielewa hilo huwezi pata shida
Hivyo interview iko mtaa wa pili. [emoji23]Hahaha
Kunyamaza muda mrefu siweziiii mamy
Ndo hivyo teenaa ujue, sio kwa povu lile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Joseverest ni mpole sana,huwezi kuwa ni wewe zee la fujo!!Duuuh
Na kufurahisha pia. [emoji23] [emoji23]Kazi sana sana dada akee yaan vinashangaza sana