Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

Mmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.

Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.

Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sawa dada akee huu uzi wetu ujue wa interview umeshaanza huko yaan huku ni nyumbani uzi tumeuteka usiogope
 
Back
Top Bottom