Cocochanel interview prep!

Mmh. Mi nijuavyo wenye maswali siku zote huwa anauliza my dear na hawi muda wa kufuatilia watu. Ukiona mtu kuingia na kuingia tu kaanza kukerwa na aliowakuta jua huyo hana kingine zaidi ya wivu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hahaha
Wamekuelewa Madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…