Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Natamani nione kweeeli maswali yaoInabidi tupite kimya kimya ili watu wapate kuuliza mijiswali yao. [emoji12] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nione kweeeli maswali yaoInabidi tupite kimya kimya ili watu wapate kuuliza mijiswali yao. [emoji12] [emoji12]
Hazitakuwepo mana sie timu naniliu ndio tunao chitchatika kwenye interviews. [emoji23] [emoji23]Naisubiri ya leo nione kama chit chat hazitakuwemo
Ila ndio hivyo siku zote jf haiishi vituko.Mie nilichoka, nilisoma mwili wooote ukalegea
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutaombewa na ban yaan nikikumbuka hiyo
Hakutakuwa na maswali ya maana zaidi ya siasa,ila tusubiri tuoneInabidi tupite kimya kimya ili watu wapate kuuliza mijiswali yao. [emoji12] [emoji12]
Mtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasaIla ndio hivyo siku zote jf haiishi vituko.
Bado dk chache tu tutaona kama kweli hazitakuwepoHazitakuwepo mana sie timu naniliu ndio tunao chitchatika kwenye interviews. [emoji23] [emoji23]
Mmh. Mi nijuavyo wenye maswali siku zote huwa anauliza my dear na hawi muda wa kufuatilia watu. Ukiona mtu kuingia na kuingia tu kaanza kukerwa na aliowakuta jua huyo hana kingine zaidi ya wivu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Natamani nione kweeeli maswali yao
Me nitawaita mods kabisaa[emoji23]Mtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasa
Na wali dada [emoji39][emoji39][emoji39] usisahau kachumbari keshoNakata Vitunguu niunge Maharage ya lunch Kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau na vya kujifunza ujueNatamani nione kweeeli maswali yao
Yetu macho mamy, maana na humu wanatusoma kimya kimyaBado dk chache tu tutaona kama kweli hazitakuwepo
Na kweli ujue walengwa wakuu ilikuwa ilikuwa sieHazitakuwepo mana sie timu naniliu ndio tunao chitchatika kwenye interviews. [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Ninavyoogopa ban sasa, haki Mungu anawaona
HahahaMmh. Mi nijuavyo wenye maswali siku zote huwa anauliza my dear na hawi muda wa kufuatilia watu. Ukiona mtu kuingia na kuingia tu kaanza kukerwa na aliowakuta jua huyo hana kingine zaidi ya wivu. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
HahahaMe nitawaita mods kabisaa[emoji23]
Mi nishachuma fimbo kwa kweli mana hatutaki aibu tuacheni watu waulize maswali yao.Mtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasa
Halaf wakawa wanapongezana swala letu sijui limefanikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naisubiri ya leo nione kama chit chat hazitakuwemo
Nikipigwa mje kunitetea mana ka emmy hakana hata nguvu mjue.Hahaha
Wamekuelewa Madam
Carba ujue anaweza kuchart hukoMtaa wa pili bado tuu haijaanza jamanii???? Halafu nione mtu anachat huko sasa