OkSiasa ziwe kidogo mleta mada, huwa siasa zinatugawa sana siku hizi. cocochanel nae amekuwa kwenye "mrengo wa kulia" katika siasa zetu.
Mkuu, utampata 'RC' muda huu kweli? Leo umeingia 'choo cha kike'
Joseverest rapper toka Jana mwanangu unaongea issue iyo iyo duh!Leo ndio umeongea atleast point..sio utaratibu wako wa kumhoji mtu masaa matatu wengine unatukashifu tukiuliza maswali inaonekana tunaleta fujo
Naomba umuulize coco baby ye ni mwanamke wa aina gani? Namaanisha kimuonekano na tabia je ni mpole hivi au vipii achana na hizi mambo za jf alivyoLeteni maswali au mmeyaficha ili muulize wenyewe?
Sio mbaya pia
Jioni bhana tatzo watoto wa kitanga wavivu sana umesoma heading tu na kuacha kusona main bodycocochanel Jamani Muda umeanza au bado nijuze
Kwanini anashabikia chama kinachoua watu kwa smg??Leteni maswali au mmeyaficha ili muulize wenyewe?
Sio mbaya pia
Sawa ma dNaomba umuulize coco baby ye ni mwanamke wa aina gani? Namaanisha kimuonekano na tabia je ni mpole hivi au vipii achana na hizi mambo za jf alivyo
Ameolewa na kama ameolewa ana watoto hivi au vipiii naendekea nitarudi tena badae sawa sawa
Hahaha wewe kama mganga wa kienyeji. sijasoma kweli Jamaa kashuka essey inatia uvivu.Jioni bhana tatzo watoto wa kitanga wavivu sana umesoma heading tu na kuacha kusona main body
Rudia kusoma utaelewa
Asante sana kwa kunielewa muosha masufuriaSawa ma d