Huyo mnamibia chibu anacheza mechi za nje tuAiseee pata hela uonekane mzuri,kila mdada anajiweka cheap kwa chibu
Umeonaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu si upo juu
Woiiiiii nimetoka kapa [emoji134] [emoji134] [emoji134]Yule aliyekuwa anamsahihisha maneno[emoji87] [emoji87]
Utakuta wanapita kimya kimya na kuzimia nyuma ya keyboard[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapoo
Jamaan [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tena ile kupaliwa halafu unalia kabisa
Huyo ndio zakeHalafu zari kama kawaida yake katema povu snap nasikia
Naongezea.
Binti SakayoHahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbushe kipindi kile
Ile ban ilituuma ujue
Nimekuona unamwambia muosha masufuria aulize maswali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahaha
Na wewe pia ulipewa ban[emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbushe kipindi kile
Ile ban ilituuma ujue
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]Nilimuona anapenda kujiweka mstaarabu kupita wenzie
Alikuwa anataka kuanza umbeaNimekuona unamwambia muosha masufuria aulize maswali [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaee
Ila hili povu la safari hii sijui ni sabuni gani ileHuyo ndio zake
WoowBinti Sakayo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umbea tena si hawatakiAlikuwa anataka kuanza umbea
Ulikuwa unatajwa kila siku,ilibaki kidogo tuandamane hadi kwa modsIlinipa puresha daah nilimiss likes,niliwamiss kweli