[emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyo sio shem cuzoo tulikuwa tunamsingizia ujue ndio mana walikua wanatucheka
Tumeamka salama mamyMmekamkaje wapenz team ya mie nawapenda sana
Ni kiki bhanaHuyu mama anakosea hapa tu mwanaume sio wa kushindana nae kabisa jamaan unamuacha tu na mambo zake
Salama kabisaMmekamkaje wapenz team ya mie nawapenda sana
Mmh cuzoo kiki ya nini kwani domo anataka kutoa nyimbo au kuzima 40 ya mobetoNi kiki bhana
Mrs Cole [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Salama kabisa
Tunakupenda pia
Ndiwoooo cuzoo [emoji1][emoji1][emoji1] shem wetu Cole yupo nae kule kwao kwenye malikes kuna kipindi walikuwa wanashare avatar moja[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Popote ukimwona unidipuMarahaba za wewe jaman sijamuona mda kabisa labda kafichwa na makinikia
Senkyuu my dearKaribu tena mamy
Interview ikwapi hiyo?Hata kusoma naona uvivu[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ni kupatwa kwa interview[emoji134][emoji134]
Naona joanah kaanzisha moto kule
NafurahTumeamka salama mamy
Ipo upande wa piliInterview ikwapi hiyo?
Sawa zimefikaPopote ukimwona unidipu
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Mrs Cole [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Chit chat humuhumu unajina kama hiliInterview ikwapi hiyo?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] leo mpo wapiii jamaanYaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji137] [emoji137][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] leo mpo wapiii jamaan
Avatar gani hiyo??Ndiwoooo cuzoo [emoji1][emoji1][emoji1] shem wetu Cole yupo nae kule kwao kwenye malikes kuna kipindi walikuwa wanashare avatar moja
Mmhh kwani we ndio shemela Cole jamanAvatar gani hiyo??
Mzima[emoji137] [emoji137]