Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

Kwakweli alichokifanya coco kweye ile Interview yake kimenifanya nifikirie mambo mengi sana kuhusu wanawake wa JF.
Ngoja kwanza usitujumlishe wote ujue jana tumesemwa sana na watu huku kwenye interview ya faiza ujue watu hawapendi kuona chit chat zetu tunawakwaza ndio mana leo tumeuteka huu uzi wa muosha masufuria uwe wetu youngblood
 
Sio mimi tu team yote wetu unayoijua we hujashangaa kumepooza wameingia na kuchungulia
Ndiyo maana kumepoa sana...alafu nimeshangaa lile jeshi lenu mbona silioni kabisa! Kumbe mmejichimbia huku....ila shunie nyie ni kiboko aisee[emoji23] siku nyingine msirudie tena mtafanya Interviews zife kifo cha mende.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hatutaki hawatuoni tena huu uzi wetu tumeshauteka yaan huku ndio meeting place yetu ujue ebu pitia uzi wa faiza uone watu walivyotapikwa kumbe tunawakera youngblood jamaan
 
Bahati mbaya huo uzi hata sijaupitia,ila siunajua tena mambo ya binadamu tena ..majungu lazima.
Ila mimi nawaomba mrudi tu maana mambo yataharibika kabisa shunie mimi nakwambia ukweli.
 
Bahati mbaya huo uzi hata sijaupitia,ila siunajua tena mambo ya binadamu tena ..majungu lazima.
Ila mimi nawaomba mrudi tu maana mambo yataharibika kabisa shunie mimi nakwambia ukweli.
Watu wameongea sana kuwa tunaharibu interview na chit chat zetu wanashindwa sikiliza eti watatuombea ban ndio mana tumeamuwa kwenye interview tuwe wasomaji tuuuu story huku kwenye uzi wetu
 
Asante mamy kwa kuniita sisi kimya ila utawaona tu watu watakavyochit chat we

Muosha masufuria niulizie kwa coco baby ana undugu na makonda au ni boss wake sina la zaidi huwa namkubali tu na misimamo yake huyo mama nitarudi nikiwa na maswali mengine

Nashukuru
Sina undugu na Makonda na sifanyi nae kazi. Mie shabiki tu
 
Back
Top Bottom