Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

50dc80943d34ba4e5b40e52ad2bf7416.gif
 
Asante mamy kwa kuniita sisi kimya ila utawaona tu watu watakavyochit chat we

Muosha masufuria niulizie kwa coco baby ana undugu na makonda au ni boss wake sina la zaidi huwa namkubali tu na misimamo yake huyo mama nitarudi nikiwa na maswali mengine
Naomba ni jibu: hili ni genge la pale lumumba linalolipwa buku saba per day kukesha mitandaoni....

Ni vijana wenzetu waliopoteana na wasiojitambua.
 
Back
Top Bottom