Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

Habarini wana jamvi
Kutokana Na ushauri Wa wadau ambao kwa kiasi kikubwa unajenga,
Tumeona ni vema tukawa Na utaratibu mzuri Wa uendeshaji Wa interview (mkabala) hapa jf.

Hii kwa kiasi Fulani itapunguza uholela Na malalamiko yasiyo ya lazima.

Tungependa kila mmoja wetu ajisikie inclusive ktk mikabala yetu
Na awe Na haki Na kushiriki bila bhugha!

Sasa Basi utaratibu ni huu,
Tutakuwa tunawajulisha nani yupo katika interview siku husika masaa matano kabla,ambayo tutatumia kukusanya maswali Na kuyachambua Na kumtumia interviewed maswali kumi ya msingi ambayo atayaandalia majibu mujarabu.

Kisha nusu saa kabla ya muda rasmi tutabandika Uzi Wa interview, ili kutoa taarifa Na watu kupata nafasi nzuri ya ushiriki.

Mgeni ataulizwa Na host maswali kumi au host atavyoona inafaa kisha
Atairuhusu hadhira (audience) kuuliza maswali ya randomly!

Kwa leo tunataraji cocochanel kuwa
Nasi jioni aghalabu kuanzia saa kumi Na nusu jioni.

Kwa hiyo tunakaribisha maswali ya maana ambayo unadhani linafaa kuwa swali la msingi Na kunufaisha
Wengi.

Asanteni.
Regards,
DJ sepetu.
 
Huu ni Uzi Wa preparation hasa kuchukuwaa maswali ya msingi thread ya interview itabandikwa
ahaa kumbe afu nina ushaur kidogo kiongoz jitaid uwe unapiga show then unapitisha siku japo moja siyo kila kila

Kwa mfano show ikiwa jumatatu jumanne mapumuziko then unapiga jumatano

Ni ushaur tu lakin siyo lazima uufate
 
ahaa kumbe afu nina ushaur kidogo kiongoz jitaid uwe unapiga show then unapitisha siku japo moja siyo kila kila

Kwa mfano show ikiwa jumatatu jumanne mapumuziko then unapiga jumatano

Ni ushaur tu lakin siyo lazima uufate
Sawa kuanzia next week
 
Back
Top Bottom