Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimiliki tayari[emoji23] [emoji23]Kabisa kule ni kupita kimya kimya huu ni uzi wetu yaan bado hatimiliki tuu
Nifundishe na mimi swahibaMmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.
Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.
Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23]utaniacha nipigwe kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipigwa virungu ndo utakoma
Walimu my foot[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naogopa mwenzio maana jf wote walimu. Chaaaaa.
Jose new model[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima mamy? ? Miss you
Usijali swahiba mie na wewe tena. Nilimwambia carba akufuate kule ujue ila hakukukuta.Nifundishe na mimi swahiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] josse wa mwanzo alikua mpole jaman
Woiiiiii wajifunze nini pale[emoji23] [emoji23] [emoji23]Watauliza mambo yao ya msingi leo kumbe huwa tunazuia wanashindwa kujifunza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Walimu my foot[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanazimiaga nyuma ya keyboards za simu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan unabaki unajiuliza kumbe tunavyo chat watu wanakereka woiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan alikua na comment fupi fupi tu
Nashkuru umeliona hilo ndugu halafu wanaanza kututolea povu woiiiii
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Wanazimiaga nyuma ya keyboards za simu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swahiba usikoseshwe amani na watu wasio na msaada kwako. Ubakoseshwa amani na ID's na avatars fake??Nilitetemeka sio siri maana kila anayeibuka katuona sie yaani nilikosa amani aisee.
Mzima rafiki? ??Mkimuona rafiki yangu linamo mwambieni namsalimia sana![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unasapoti nonsense!
Hahaaaa. AiseeeeWanatoa povu huku wakitaman kuendelea kusoma ubuyu wetu aiseee
Wanajifunza saiz za bamia na mihogo[emoji23][emoji23][emoji23]mana kuna bamia saiz ya karotiWoiiiiii wajifunze nini pale[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hogo au bamia