Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kweli kabisa atuletee habari tuwe tunafaidika sieee.Hatujaziriwa ila tumeuteka kilazima ujue ebu tupia wote wanaojifanya hawapendi umbea watakuja na tutawafukuza labda sio wale waliotoa povu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa atuletee habari tuwe tunafaidika sieee.Hatujaziriwa ila tumeuteka kilazima ujue ebu tupia wote wanaojifanya hawapendi umbea watakuja na tutawafukuza labda sio wale waliotoa povu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kila mtu apambane na hali yakeUzi umegoma kwenda[emoji23][emoji23][emoji23]eti ndo kwanza page ya8
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12] siamini kabisa
Kwani hata kule wanaonekana basi[emoji23]Hatujaziriwa ila tumeuteka kilazima ujue ebu tupia wote wanaojifanya hawapendi umbea watakuja na tutawafukuza labda sio wale waliotoa povu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hapana wa interview mwingine kaka akee sio huu utafute chit chat
huku atanyonyolewa kama kuku
Hauna jipya kabisaaUzi umegoma kwenda[emoji23][emoji23][emoji23]eti ndo kwanza page ya8
Kabisa yaaniTupo wenyewe hadi raha
Itakuwa polio maana[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena degedege
Tayari nipo ukumbini dada lakeUpo chit chat hapahapa
Nasubiria maswali yao siyaoni yaaani natamani nitupiemo hata nukta
Halafu nimeshtuka woote Wanasoma hukuuHatujaziriwa ila tumeuteka kilazima ujue ebu tupia wote wanaojifanya hawapendi umbea watakuja na tutawafukuza labda sio wale waliotoa povu
Njoo kwangu uchukue kozi[emoji38]Uwiiii itabidi nimtafute jose original anipe mbinu za upole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] josse huyu sio wa mchezo mchezoHahaha jose si wa mchezo mchezo
Hatuna shida na wanafunzi wanaotaka kujifunzaTupo wenyewe hadi raha
Uzi una polio[emoji23][emoji23][emoji23]Ule uzi Umelala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utampata wapi sasaUwiiii itabidi nimtafute jose original anipe mbinu za upole