Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Alikuja mwanzoAngekuja huku angefurahia show
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuja mwanzoAngekuja huku angefurahia show
Kumbe wengi tulisoma kimya me nimeingia leo tena faiza aliniquote kumjibu ndio kukutana na mapovu mpaka mambo ya kupewa banNilionao mpenzi nikawa mpole ikabidi nitoke kimya kimya kumbe watu wahawapendi lile povu sio la nchi hii
EwaaaaaaNimeelewa ndugu, x apite hivi new broom sweeps clean hahah
Ngoja arudi povu lake
nilikuwa kwenye mpunga leoNani alikuficha mtoto mzuriii
Then akaamishiwa chimbo lingineAlikuja mwanzo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] povu si la nchi hiiNilivyoona tunasemwa nikatoka sikurudi tena
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji18][emoji18][emoji39]nilikuwa kwenye mpunga leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo naona na sifa kawamwagia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tupo huku ujue huu uzi tumeuteka kwa x shemela hana chake
Si muosha masufuria auThen akaamishiwa chimbo lingine
Ukiona unasemwa hutakiwiNilivyoona tunasemwa nikatoka sikurudi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] manina wewe, me leo nilienda kwenye mnuso sehemu banahx shemela [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Bora umenisaidia kuuliza mwenzanguX anakufichaje?
Ngoja tuone kesho atakuwa NaniSi muosha masufuria au
Mhhhhh nilibaki mdomo wazi ujue, ama kweli penye wengi hapaishi vihojaKumbe wengi tulisoma kimya me nimeingia leo tena faiza aliniquote kumjibu ndio kukutana na mapovu mpaka mambo ya kupewa ban
Santee mamaa, huyu mtoto wa kike hanitakii mema aseeNimeelewa ndugu, x apite hivi new broom sweeps clean hahah
Umemuamini mdogo wako
kule kwenu mnanipeleka lini jamanNgoja arudi povu lake
Ooohnilikuwa kwenye mpunga leo
Anajua bila sisi hakuna kitu ujue lazima atusifie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo naona na sifa kawamwagia