Mwambie ajiandae vizuri mana maswali yangu ni magumu.Pouwa!
Asante mamy huku tutarudi sa 12 na nusu ebu turudi kule kwetu tukaendelee
Asante sana muosha naniliuuGood evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!
Mnaenda wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuko pamoja Mkuu
Hivi upooo jana mbona sijakuona kwa miss natafutaMwambie ajiandae vizuri mana maswali yangu ni magumu.
Huyu carba ni ke au meAsante mamy huku tutarudi sa 12 na nusu ebu turudi kule kwetu tukaendelee
Nishafika[emoji7] [emoji7]