Shukrani kijanaUpo mkuu!
Huo umbea wanaoufanya wewe unakudhiki nini?Wanajaza uzi kwa umbea within a minute!
Unanifanyia interview ndani ya interview ya cocochanel mkuu???![emoji32][emoji32][emoji32]Huo umbea wanaoufanya wewe unakudhiki nini?
Kumbe hii ni interview eeh[emoji23][emoji23]nilikuwa sijui etUnanifanyia interview ndani ya interview ya cocochanel mkuu???![emoji32][emoji32][emoji32]
Cocochanel karibu sana
1.cocochanel ni nani hasa ulizaliwa wapi,umr wako,elimu na unafanya nn mjini kwa sasa?
Yale matangazo ila movie ndo hiiHuyu jamaa anataka kujaza threads zake chit chat yote si ilikuwepo ile aliyofungua asubuhi. Kule ulituwahia siti za mwanzo kabisa
Yale matangazo ila movie ndo hii
vyeti vya kujibia maswali unavyo lakini?Nashukuru
Ha ha haaaaaa
Nimejikuta nafikiria kwanini nilikubali haya..
Eeeh
Ngoja nikae vizuri mkao mwingine wa kuniweka niweze kukujibu
Cocochanel karibu sana
1.cocochanel ni nani hasa ulizaliwa wapi,umr wako,elimu na unafanya nn mjini kwa sasa?
Ilo ndo la muhimuDuuh leo nikaweke makazi home kwa likesss.
Asante coco!Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.
Elimu ya juu vyuoni.
Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia.