Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Mi nilidhani ni intaviu ya kazi. Bana. Sawa basi cocochanel ungekuwa mkenya, mwenye kura. Yako ungeitupa wapi? Uhuru Kenyatta au ule jamaa wa vitendawili?
 
Cocochanel karibu sana
1.cocochanel ni nani hasa ulizaliwa wapi,umr wako,elimu na unafanya nn mjini kwa sasa?

Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.

Elimu ya juu vyuoni.

Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia na management..
 
Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.

Elimu ya juu vyuoni.

Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia.
Asante coco!
Maisha kwako yana tafsiri gani?
Kwanini upo duniani Na nini ni
Muhimu kwako zaidi!
 
Back
Top Bottom