Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.

Elimu ya juu vyuoni.

Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia.
[emoji115]Tumekwisha!!!...kwa hiyo maadui wote wa bashite wanaojificha nyuma ya keyboard kwa ID fake hapa JF unawajua A to Z???[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Asante coco!
Maisha kwako yana tafsiri gani?
Kwanini upo duniani Na nini ni
Muhimu kwako zaidi!

Kwangu maisha ni kwanza kujitahidi kwenye maisha tangu ukiwa unaanza kukua.. yaani ile kujipanga kuanzia masomoni kujua nini unataka kufanya mbeleni

Pia kuishi kwa furaha na amani na kuishi maisha ya kuridhika na ulichonacho na kama unataka mengine zaidi basi ni muhimu kujisukuma kuyafikia hayo na kuwa na plan B au C ikibidi.. ili usiishie kuishia kujiona umekwama na hauna lingine.. kumbe mtu una uwezo wa mengi.

Kuenjoy maisha.. sio kuishi kivingine huku una uwezo wa kujirurahisha wewe na wapendwa wako.. tunaishi mara moja.
 
We DJ sepetu umeshaharibu hii interview,hilo swali lako la pili haliwezi kupata majibu,maana hata lile la kwanza halijajibiwa. Anyway kumbuka maswali yangu...!
 
3.Cocochanel ni kitu gan ama jambo lipi unaweza kulipigania au kulitetea kwa nguvu zote kiasi kwamba upo tayari kufa ukiamini?
Jambo gani ukilianza huwez kata tamaa kirahisi!
 
Mkuu mimi sio Niyombire


NIYOMBARE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…