Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.
Changa mapemaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.
Changa mapemaaa
[emoji115]Tumekwisha!!!...kwa hiyo maadui wote wa bashite wanaojificha nyuma ya keyboard kwa ID fake hapa JF unawajua A to Z???[emoji32][emoji32][emoji32]Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.
Elimu ya juu vyuoni.
Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia.
Asante coco!
Maisha kwako yana tafsiri gani?
Kwanini upo duniani Na nini ni
Muhimu kwako zaidi!
Asante coco!
Maisha kwako yana tafsiri gani?
Kwanini upo duniani Na nini ni
Muhimu kwako zaidi!
3.Cocochanel ni kitu gan ama jambo lipi unaweza kulipigania au kulitetea kwa nguvu zote kiasi kwamba upo tayari kufa ukiamini?Kwangu maisha ni kwanza kujitahidi kwenye maisha tangu ukiwa unaanza kukua.. yaani ile kujipanga kuanzia masomoni kujua nini unataka kufanya mbeleni
Pia kuishi kwa furaha na amani na kuishi maisha ya kuridhika na ulichonacho na kama unataka mengine zaidi basi ni muhimu kujisukuma kuyafikia hayo na kuwa na plan B au C ikibidi.. ili usiishie kuishia kujiona umekwama na hauna lingine.. kumbe mtu una uwezo wa mengi.
Kuenjoy maisha.. sio kuishi kivingine huku una uwezo wa kujirurahisha wewe na wapendwa wako.. tunaishi mara moja.
Cocochanel karibu sana
1.cocochanel ni nani hasa ulizaliwa wapi,umr wako,elimu na unafanya nn mjini kwa sasa?
Mkuu mimi sio NiyombireGood evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka kabisa,
Kukidhi kiu yenu!
Cocochanel atakuwa rasmi hapa
Saa kumi na mbili unusu.
Karibuni sana!
cc Transcend
Asprin
Lee empire
Young blood
Niyombire
Billy
Shunie
Numbisa
Sakayo
Emmnitya
Linamo
Carba
Stable woman
Ukhuty
Sergio
Beira
Welcome all!
wewe ni mwanaume ?Namshukuru Mungu kwa kuwepo duniani.
Familia yangu kuanzia wazazi wangu, siblings na uzao wetu.
Aisee JF huwa inanichekesha sn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu mgeni wetu nina aleji nae sitaweza kuhudhuria naomba udhuru.