mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Salamu!
Hivi Fid Q katika wimbo wake wa kiberiti ile mistari alimlenga nani? Yaani ni balaa na hatari sana. Tena sana dah! Codes iliyotumika kiukweli nimeshindwa kabisa ku crack, aisee na ujanja wangu huu nime fail.
Wajuzi nisaidieni, NAKIRI kuwa sijui na nipo tayari kueleweshwa na ninyi wakulungwa.
Natanguliza shukrani!