Code gani ametumia Fid Q?

Code gani ametumia Fid Q?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Salamu!

Hivi Fid Q katika wimbo wake wa kiberiti ile mistari alimlenga nani? Yaani ni balaa na hatari sana. Tena sana dah! Codes iliyotumika kiukweli nimeshindwa kabisa ku crack, aisee na ujanja wangu huu nime fail.

Wajuzi nisaidieni, NAKIRI kuwa sijui na nipo tayari kueleweshwa na ninyi wakulungwa.

Natanguliza shukrani!
 
Amejichana mwenyewe...yaani hayo Ni maneno wanayomwambiaga wanaompondaga fid q...

Ila mwishoni anasema hayo maneno huwa hayazingatii Yan hayachukulii serious/personal maana akiyachukulia serious yatakuwa kama kiberiti na kumuunguza
 
Amejichana mwenyewe...yaani hayo Ni maneno wanayomwambiaga wanaompondaga fid q...
ila mwishoni anasema hayo maneno huwa hayazingatii Yan hayachukulii serious/personal maana akiyachukulia serious yatakuwa kama kiberiti na kumuunguza
Oooooh daaaaaah! Kweli jf kuna vichwa. Kuna sehemu alisema 'lini utastaafu kuuza mitumba rango, una roho mbaya hujamkumbuka Rado??' hapa alimlenga nani?

Pia alisema... 'Wewe sio kichwa, wewe unaweza fichwa, nikichora hip hop sioni sura yako kwa picha'.
 
Kabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..

Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa
 
Oooh jamaa alimpotezea mchizi wake daaah
 
Kabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..

Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa
Mmh hao kina joh wamepata tuzo gani africa
 
Joh Makini kwenye nusu nusu Aliimba "wakati wanajiuliza kutafuta punchline (Kina fid q Na tamaduni) Mimi nafulululiza kupata Hit song"

Kwenye don't bother akaimba "nasikia Kuna tuzo MPO kwenye list".

Aliimba hayo kama maneno ambayo watu wanamuuliza Joh Kuwa kumbe yupo kwenye list ya tuzo...

Na kipindi hiko Joh Makini alifanya collabo ya Davido,Aka Na perfect combo, akaitwa Hadi coke studio akawa kama anatusua kiafrica akawa anawatambia wasanii wengine wa bongo....kitu kama Kuna tuzo Za Africa alikuwa nominated
 
Lini utastaaafu kuuza mitumba. Maana yake hajastaafu kuiuza hadi sasa. Hapo vipi?
Kabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..

Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa
 
Lini utastaaafu kuuza mitumba. Maana yake hajastaafu kuiuza hadi sasa. Hapo vipi?
Sikiliza

🎶"Mwaka Huu we mwaka,
Ikakuweka juu Hakuna Asiyemtaka Q,

Well...Ni lini uta-retire urudi kuuza mitumba lango?,
Una rohombaya hujamkumbuka Rado."

🎶"Rent mwezi ujao Na haujalipa school fees,
Ya mwanao unaumiza kichwa ewe q- fid''.

I mean amejitaja kabisa
 
Asante kwa ufafanuzi. Mwenzio aliandika tofauti.
 
Kabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..

Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa

Tuzo gani [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Habari wakuu.. naomba kuuliza ni Benki gani nzuri kwa ajili ya mkopo ukiwa ni mfanyakazi wa serikali.
 
Back
Top Bottom