mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Oooooh daaaaaah! Kweli jf kuna vichwa. Kuna sehemu alisema 'lini utastaafu kuuza mitumba rango, una roho mbaya hujamkumbuka Rado??' hapa alimlenga nani?Amejichana mwenyewe...yaani hayo Ni maneno wanayomwambiaga wanaompondaga fid q...
ila mwishoni anasema hayo maneno huwa hayazingatii Yan hayachukulii serious/personal maana akiyachukulia serious yatakuwa kama kiberiti na kumuunguza
Kabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..Oooooh daaaaaah! Kweli jf kuna vichwa. Kuna sehemu alisema 'lini utastaafu kuuza mitumba rango, una roho mbaya hujamkumbuka Rado??' hapa alimlenga nani?
Pia alisema... 'Wewe sio kichwa, wewe unaweza fichwa, nikichora hip hop sioni sura yako kwa picha'.
umemalizaAmejichana mwenyewe...yaani hayo Ni maneno wanayomwambiaga wanaompondaga fid q...
ila mwishoni anasema hayo maneno huwa hayazingatii Yan hayachukulii serious/personal maana akiyachukulia serious yatakuwa kama kiberiti na kumuunguza
Oooh jamaa alimpotezea mchizi wake daaahKabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..
Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa
Hiyo Ni lazima...hata wewe ukitusua lazima Kuna washkaji utawapotezea tuOooh jamaa alimpotezea mchizi wake daaah
Mmh hao kina joh wamepata tuzo gani africaKabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..
Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa
Joh Makini kwenye nusu nusu Aliimba "wakati wanajiuliza kutafuta punchline (Kina fid q Na tamaduni) Mimi nafulululiza kupata Hit song"Mmh hao kina joh wamepata tuzo gani africa
Kabla ya hip hop aliuza mitumba Na Rado Ni Msela wake wa kitambo alimpotezea baada ya Kuwa star..
Hao wanaomponda (mf. Kina Joh Makini) wanamwambia wakiichora hip hop hawamuoni fid q maana anaimba ngumu mistari mingi ila wao wanaimba laini wanapata mashabiki kibao madem wanajaza show Na kupata tuzo kibao Africa
SikilizaLini utastaaafu kuuza mitumba. Maana yake hajastaafu kuiuza hadi sasa. Hapo vipi?
Asante kwa ufafanuzi. Mwenzio aliandika tofauti.Sikiliza
🎶"Mwaka Huu we mwaka,
Ikakuweka juu Hakuna Asiyemtaka Q,
Well...Ni lini uta-retire urudi kuuza mitumba lango?,
Una rohombaya hujamkumbuka Rado."
🎶"Rent mwezi ujao Na haujalipa school fees,
Ya mwanao unaumiza kichwa ewe q- fid''.
I mean amejitaja kabisa
Wengine huwapotezei wewe ila wao wenyewe wanaanza kukukwepa, wanaona kama unawadharau kumbe lahHiyo Ni lazima...hata wewe ukitusua lazima Kuna washkaji utawapotezea tu