Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo.

Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar

Nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee


Your browser is not able to display this video.
 
Mheshimiwa Makamo wa kwanza wa Rais Othman Masoud Shariff amewaahidi Wazanzibari kwamba atapambana kuhakikisha Zanzibar inaitumia code yake.

Hivi Code ya Geita ni ngapi??
028 pamoja na Chato.
 
Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Mkuu wazanzibar mifumo yao ya kiuongoz hasa ya chin n ngumu mtu wa bara kupata nafas

Maajabu nafas za juu zote mara nyingi viongoz wao n toka bara mawazir na marais

Hapa bugurun mtaa wa pandia mjumbe n mmakunduchi wa visiwan

Kigamboni washiraz kibao n wajumbe had madiwan

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…