Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO

Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar

nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Hata pesa ipo, gwala la sh 200/=🤣🤣🤣
 
Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO

Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar

nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Na Tanganyika yenyewe haipo! Kwahio we don't exist hahahahaha
 
Watauana kama kuku. Hakuna mijitu mibaguzi kama ya visiwani. Utasikia yule mpemba, yule muunguja. Mara utasikia ule msikiti wa ACT na kuna misikiti ya CCM.
MIBAGUZI SANA HII MIJITU.
wacha wauane wakishakuwa nje ya muungano na wakaona madhara wakiomba kujiunga tena tunawaambia wanajiunga kama mkoa
 
Zanzibar ilikuwa nchi kabla ya 1964 na Muungano tuliokuwa nao ni "marriage of convenience" kwa wakati ule kwenye kipindi cha vita baridi (NATO/ Warsaw Pact).

Ni USA kupitia kachero wao Frank Carlucci aliyekuwa Balozi wao Tanganyika kisha Congo na baadaye akaja kuwa CEO wa CIA. Huyu Carlucci alianza kumshawishi kwanza Jomo Kenyatta kutaka kuiunganisha Zanzibar na Kenya. Jomo Kenyatta atakataa ndipo akamu approach J K Nyerere ambaye alikubali.

Nyerere aliweka muundo wa Serikali 2 ili kutoimeza Zanzibar kama nchi. Alikataa kabisa kuifanya Zanzibar kuwa Mkoa. Hata hivyo vita baridi ilikwisha mwaka 1989 baada ya kuanguka ukuta wa Berlin. Ushahidi upo kwenye Rasimu ya Katiba ya Warioba uliotaka Serikali 3.

Sababu ya kuwa na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa sasa hazipo. Tunahitaji tu kuwa na ushirikiano kama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Yeyote anayetaka ridhaaa ya kura za Wazanzibari lazima aongelee "sovereignty ya Zanzibar" as a country.

Zanzibar ilikuwa tajiri sana kuliko Oman kabla ya mwaka 1960 na ndiyo sababu Sultan Seyyid Said alihamisha Makao makuu ya Sultanate of Oman kwenda Zanzibar mmamo 1840. Mwaka 1960 kwa mfano Zanzibar ilikuwa na kilometres 22 za barabara ya lami wakati Oman ilikuwa haina. Leo hii Oman ni nchi tajiri sana baada ya kugundua raslimali za mafuta mpaka imekuwa nchi mfadhili.

Mimi ni Mtanganyika naamini kuwa muda wa kuendelea kuishikilia Zanzibar umekwisha. Tuwaache wapate maendeleo kipitia OIC na waanzishe bandari huru kama ilivyo Singapore na Dubai.

Zanzibar imecheleweshwa mno kiuchumi kwa kuwa ndani ya Tanganyika.
 
Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]
IMG_20210608_191737_066.JPG
 
Back
Top Bottom