lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,908
- 5,513
Kwahiyo kabla ya Muungano , Siku ya uhuru wa tanganyika mwaka 1961 Temeke , Gongolamboto, Tegeta, Kimara zilikuwa ni Eneo la Zanzibar!Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.