Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646
Muungano hauvunjiki Hapa, no way out, mbele za mungu muungano utakuepo tena imara kuliko jana ,Cha msingi kuondoa kero ndogondogo za muungano,

Wazanzibar Binafsi nahamini ni wachamungu Sana , kupitia imani yenu, but mungu hataki lawama,

Wewe mzee ulie enda peleka UN barua za muungano , Mungu anasema hacha Mara moja, maana atakuchukua kabla hata ya hitimiaho lako Hili japo uilichofanya ni haki YAKO kibinadam, but mungu anasema stop, muhite KWA jina lolote ukiwa sehem tulivu utapata majibu niliyoyataja Hapa,
Asanteni

Ujumbe wangu, sio mie asema BWANA , Kama ndo mtume sawa ila ujumbe ufike tafadhali
 
+259 Zanzibar never implemented.

Service provided through Tanzania +255 since Zanzibar is part of that nation. Country code 259 was assigned but never known to be implemented.
 
Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646
Suluhisho siyo Muungano uvunjwe. Hata Wahenga walinena "Kidole kimoja hakivunji chawa" au "Umoja ni nguvu utengano dhaifu".

Kama ilivyopendekezwa kwenye Rasimu ya Katiba (Warioba) ama uwe Muungano wa Serikali moja au tatu.
 
+259 Zanzibar never implemented.

Service provided through Tanzania +255 since Zanzibar is part of that nation. Country code 259 was assigned but never known to be implemented.
Thank you for clarification. But when was it assigned? And why is it becoming a big deal now ( just curious)
 
Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.

Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Kwani kabla ya muungano hilo ndio lilikua eneo za Zanzibar? acha bange.
 
Huyo makamo wa Kwanza anajisahau sana kwamba he is now part of the Government uanaharakati umemjaa sana,

Juzi tu hapo katoka kuhamasisha Mashehe wa uamsho wachangiwe, kasahau kwamba Kwa kufanya hivyo anatengeneza mgongano wa kimaslahi.
Yuko sawa na ndiyo maana ya Serikali ya Mseto. Ukichanganya viazi na ndizi kupika usitegemee kuviona viazi pekee.

Kwenye Mseto CCM inakuja na ya kwake na ACT inakuja na ya kwake and then mnafika mahali mnakubaliana. HAIWEZEKANI Serikali ya Mseto I accommodate mambo ya CCM pekee, utakuwa siyo mseto
 
Sasa mbona hasemi kuwa hiyo code haitumiki kama unataka kupiga simu Zanzibar kwa sasa? Na aliyeizuia ni nani? Of course sababu iliyofanya hiyo code isitumike ni kuwa nchi ya Zanzibar ilisita kuwa nchi. Halafu it is not a great deal. Mbona Canada na USA wana code moja na hakuna ambaye kati yao anaona kamezwa na mwenzake>\??
 
Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.

Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Ziwa limeshakuwa Malawi kule, tuko kimya tu.

Naomba unielimishe mkuu, kisiwa kumiliki sehemu ya bara imekaaje? Kuna sehemu iko hivyo dunia hii? Mgawanyo huo haukuwa wa kiutawala wa kikoloni, kwamba tumwachie sultani eneo hilo na sisi tuchukue kule?

Watu wa zamani walipigana kutanua maeneo yao, tukiamua kuwakong'ota wa-urojo na kufanya kaeneo kao kuwa wilaya kama ilivyo Mafia itakua nini madhara?
 
Country code si issue. Itakuwa big deal pale ukisikia Zanzibar imeanzisha jeshi lake, polisi wake ,wizara yake ya nchi za nje na imeanza kutumia sarafu yake.
Haitafika 2025 kabla ya utabiri wako kutimia
 
Sasa mbona hasemi kuwa hiyo code haitumiki kama unataka kupiga simu Zanzibar kwa sasa? Na aliyeizuia ni nani? Of course sababu iliyofanya hiyo code isitumike ni kuwa nchi ya Zanzibar ilisita kuwa nchi. Halafu it is not a great deal. Mbona Canada na USA wana code moja na hakuna ambaye kati yao anaona kamezwa na mwenzake>\??
Zanzibar itahuisha hiyo code muda si mrefu
 
Narudia tena Muungano uvunjwe! tumewalea sana hawa lakini naona bado wanazidi kujitenga wakidhani wameyaweza sana! Ifike muda Tanzania bara tuwe na msimamo wetu nasi![emoji116]View attachment 1812646


Topic za kijinga unajina hizi code zimewekwa lini? wajinga wajinga ndiyo baada ya miaka 50 mnagundua !!!

CCITT, the predecessor of the ITU Telecommunication Standardization Sector, developed the first formal list of telephone country codes. It was included in the 1964 CCITT Blue
 
Back
Top Bottom