BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
Zinaongeza NGUVU za kiumeeSamahani mkuu mbali na kupiga simu, hizi code huwa zina kazi gani nyingine?
Zinaongeza NGUVU za kiumeeSamahani mkuu mbali na kupiga simu, hizi code huwa zina kazi gani nyingine?
Sio mimiUkhty hiyo avatar ni wewe!
Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Kwel mkuu! Binafs nauchukia sana muungano huu coz hata maslai ya sisi uku Bala kwa upande wa zenj sjui niyapiBora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Zanzuibar ni mpaka Morogoro kwa Taarifa yakoBora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Malizia kuwa ni TV yenye rangi kusini mwa jangwa la Sahara!Zanzibar walikuwa na television kabla ya Tanganyika!
Huo ndio ukweli,Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Kufuga majini na kufi.la wake zenu ndio ustaarabu?
kabla ya Muungano zanzibar ni Nchiwacha wauane wakishakuwa nje ya muungano na wakaona madhara wakiomba kujiunga tena tunawaambia wanajiunga kama mkoa
mpaka Morogoro Tanga na LindiUkivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Upuuzi wa hali ya juu. So what? Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa na Telex kabla ya Afrika Kusini, umesikia mtanganyika anajidai kwa hilo? Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa na shamba la kahawa kuliko Afrika Kusini ..... so what? Hivi mtu mwenye akili anaweza kukaa mahali na kuwaambia watu? Ni akili kweli kusema Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa hoteli ya nyota tano kuliko Zanzibar, wakati Zanzibar inaweza kujenga ya nyota sita kesho?...au hii ndio elimu inayotolewa Zanzibar?Malizia kuwa ni TV yenye rangi kusini mwa jangwa la Sahara!
Yani MATAGA mnaweza propaganda za mara Jiwe babalao na upuuzi mwingine
Hakuna kitu kama hicho! Karne hii ya 21 kamwe hatuwezi kuipa kipaumbele mikataba ya kizamani ya Heligoland na takataka nyingine!mpaka Morogoro Tanga na Lindi
Ila mnaweka rais!huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanziba
Kama siyo nchi kamili huwezi kupewa code noSamahani mkuu mbali na kupiga simu, hizi code huwa zina kazi gani nyingine?
Wanatupunja snBora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Naomba uagize chochote hapo ulipoPongezi kwa Wanzibar hatua moja huanzisha nyingine