Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Watauana kama kuku. Hakuna mijitu mibaguzi kama ya visiwani. Utasikia yule mpemba, yule muunguja. Mara utasikia ule msikiti wa ACT na kuna misikiti ya CCM.
MIBAGUZI SANA HII MIJITU.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhaaaa
 
04CC56BB-ECC5-4107-9F40-2B0438A08153.jpeg
 
Hakuna kitu kama hicho! Karne hii ya 21 kamwe hatuwezi kuipa kipaumbele mikataba ya kizamani ya Heligoland na takataka nyingine!

Zanzibar litabakia daima kuwa Koloni la Tanganyika chini ya usimamizi thabiti wa CCM! Mkifanikiwa kuiondoa CCM madarakani, huenda ndoto zenu za kujitenga zikatimia. Kinyume na hapo, mtaishia tu kulia lia.
Rudisheni maeneo ya Zanzibar mliyopora kijanja
 
Haipendezi kuwa sehemu ya wanaosimamia Sheria halafu unatetea mtuhumiwa openly huko ni kuvuruga mchakato mzima wa mamlaka ya kutoa haki,

Ni kuinfluence outcome ya hukumu.

Jambo ambalo ni kinyume Cha taratibu za Utawala Bora.
Hivi kuna sheria gani iliyopelekea Masheikh kuja kushtakiwa Tanzania Bara? Kitu pekee ambacho ni cha Muungano ni Mahakama ya Rufaa.

Usiongelee haki kama hujui sheria. Mahakama za Tanzania hazina jurisdiction kwa makosa yaliyofanyika ZNZ
 
Hakuna mtu kwa sasa anayependa Muungano huu Kama Samia Suluhu Hassan, Samia utamwambia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni Mbaya? hakika hawezi kukuelewa hata kidogo na anaweza kukupoteza mazima duniani....wazanzibari kazi kwenu kwa sasa, mmepewa kila kitu kwa sasa, wote kwa sasa ni wenu sisi tupo kimya tu kwa sasa tunawasikiliza kama mtakohoa
 
Kizazi cha Nyerere na TANU ya kina JK; aina ya viongozi ambao wapo sympathetic na muungano ndio kina yoyoma ivyo.

Zanzibar wajue vijana wa leo bara hawana experience na mapinduzi, harakati za uhuru wa Tanganyika, wala ukombozi wa Africa; sentiments walizonazo watu kama kina JK kun’gan’gania muungano. Huko mbele wakileta za kuleta watu watauvunja huo muungano tuanze kukamata wahamiaji haramu wakipemba mkoa Tanga.

Binafsi nishaanza kuchoka na malalamiko ya wapemba waende tu.
 
Topic za kijinga unajina hizi code zimewekwa lini? wajinga wajinga ndiyo baada ya miaka 50 mnagundua !!!

CCITT, the predecessor of the ITU Telecommunication Standardization Sector, developed the first formal list of telephone country codes. It was included in the 1964 CCITT Blue
mbona una hofu sana !
 
Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.

Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Hamna kitu kama hicho... kama muungano ukivunjika wazenji watabaki na visiwa vyao tu hawawezi thubutu kudai hizo km 20 huku bara... hata wao wanajua wazi haitawzekana!!
 
Hivi kuna sheria gani iliyopelekea Masheikh kuja kushtakiwa Tanzania Bara? Kitu pekee ambacho ni cha Muungano ni Mahakama ya Rufaa.

Usiongelee haki kama hujui sheria. Mahakama za Tanzania hazina jurisdiction kwa makosa yaliyofanyika ZNZ
S.3(1)(b) of the Penal Code Cap 16 R.E 2019.
 
Mkuu wazanzibar mifumo yao ya kiuongoz hasa ya chin n ngumu mtu wa bara kupata nafas

Maajabu nafas za juu zote mara nyingi viongoz wao n toka bara mawazir na marais

Hapa bugurun mtaa wa pandia mjumbe n mmakunduchi wa visiwan

Kigamboni washiraz kibao n wajumbe had madiwan

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Na huku kuna wasukuma kibao masheha na wenyeviti wa chama Chao cha CCM
 
Back
Top Bottom