dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,087
TelevisionKama kipi,, mnaropoka tu
Taa za barabarani
Kiti UN
nikuongezee??
TelevisionKama kipi,, mnaropoka tu
Unatoka mbele za watu unajitapa kuwa na television na taa za rangi ?Television
Taa za barabarani
Kiti UN
nikuongezee??
Kufuga majini na kufi.la wake zenu ndio ustaarabu?
Mbona hvyo vyote tayari mkuu,Country code si issue. Itakuwa big deal pale ukisikia Zanzibar imeanzisha jeshi lake, polisi wake ,wizara yake ya nchi za nje na imeanza kutumia sarafu yake.
Kumbe, ni nini kiliisibu mpaka ikaanza kujumuishwa katka mikoa ya Tz enzi hyo kuna mikoa 26Zanzibar ni Nchi kabla ya Tanganyika Malawi Rwanda burundi
Katiba imeshindikana mtaweza kuvunja huo muungano?. Tanzania itabaki mileleIpigwe kura ya huu muungano
Kila jambo na wakati wakeKatiba imeshindikana mtaweza kuvunja huo muungano?. Tanzania itabaki milele
Hilo ni somo mkuu, hata ww kama mzazi jitahidi maamuzi yako unayofanya usijiangalie ww, angalia na vizazi vijavyo.Nyerere alitukosea sana kuungana na nchi yenye kilomita za mraba 2000 wakati ana eneo la kilomita za mraba zaidi ya 900,000 ...
Anatuachia matatizo kuungana na watu kila siku kelele
Bila shaka yoyote ileZanzibar ni nchi !
Siwezi Kusoma hivyo vifungu, Ila subiri siku kesi ikirudishwa ZNZ ndiyo ulete hivyo vifungu. NitakukumbushaS.3(1)(b) of the Penal Code Cap 16 R.E 2019.
Bado inaendelea mahakama kuu kwa charge mpya sasa sijui irudi huko kufanya nini??Siwezi Kusoma hivyo vifungu, Ila subiri siku kesi ikirudishwa ZNZ ndiyo ulete hivyo vifungu. Nitakukumbusha
Kila jambo na wakati wake
Mkuu wazanzibar mifumo yao ya kiuongoz hasa ya chin n ngumu mtu wa bara kupata nafas
Maajabu nafas za juu zote mara nyingi viongoz wao n toka bara mawazir na marais
Hapa bugurun mtaa wa pandia mjumbe n mmakunduchi wa visiwan
Kigamboni washiraz kibao n wajumbe had madiwan
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
wapambane na hali zao
😆😆😆😆Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
Sema tu Chattle mzee tunakuelewa vyema kabisa.Mheshimiwa Makamo wa kwanza wa Rais Othman Masoud Shariff amewaahidi Wazanzibari kwamba atapambana kuhakikisha Zanzibar inaitumia code yake.
Hivi Code ya Geita ni ngapi??
Hii paukwa pakawa umehadithiwa na nani?Zanzibar halisi ilikuwa ni serkali ya Muungano wa Oman na Zanzibar, ikawa Zanzibar was the richer brother (shauri ya watumwa na meno ya tembo, Muscat ilikuwa na tende tu). Ilikuwa ni Muungano wa serikali 2 siyo 3.