Code:Sukari hamna wameagiza nje (Zambia) kwa kodi zetu?

Code:Sukari hamna wameagiza nje (Zambia) kwa kodi zetu?

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Gari nyingi saa zimeputa last week,

Kimsingi nchi haiko mikononi mwake ila wana mtandao....

Kwa sasa dola inajitahidi kuzuia uhalisia wa mambo mabaya hata kwa kutumia kodi za wananchi ambazo zilipaswa kufanya kazi nyingine za maana ...

Now Suvari ilipaswa kuwa 4000 kwa kilo.

Mpaka tunapita uchaguzi wa 2025, tukafike tena 2030 tutakua tumechakaa sana.....
 
Back
Top Bottom