Nilimaanisha hao watoto wamejaa kule tiktok hawataki kufanya kazi nyingine zaidi ya kupiga kelele usiku wa manage,kelele zenyewe zinaambatana na maneno kama TAPTAP kwenye skiing,inamaana wanaamini watapata wateja wa miili yao.Sina maana nyingine.Yawezekana matumizi ya TU-TU ndo yamekuchanganya.Unapata FAIDA GANI?
Unaelimisha nini Jamii?
Tiktok inafanya watu kuwa vichaaLoh! Kumbe ndiyo wapo hivyo wadada wa tiktok
NimekuelewaNilimaanisha hao watoto wamejaa kule tiktok hawataki kufanya kazi nyingine zaidi ya kupiga kelele usiku wa manage,kelele zenyewe zinaambatana na maneno kama TAPTAP kwenye skiing,inamaana wanaamini watapata wateja wa miili yao.Sina maana nyingine.Yawezekana matumizi ya TU-TU ndo yamekuchanganya.
Ni jambo lz kusikitisha sana.Watoto wakivunja ungo,wanaona hata kusoma ni kupoteza muda,ni kudanga nakununua simu halafu wazazi wao wakilala usiku wao wanaanza ujinga tiktok,kuonyesha maumbile yao huku wamepaka lips shines.Nimekuelewa
Ila yanakera sk hiz
Yani video zimepangana
Limtu linaonyesha sura yake
Wazungu wanajua itawaharib sana Waafrika
🤣Mpaka niambiwe et
SanaNi jambo lz kusikitisha sana.
Dah alf unakuta hata vile vitoto vidogoWatoto wakivunja ungo,wanaona hata kusoma ni kupoteza muda,ni kudanga nakununua simu halafu wazazi wao wakilala usiku wao wanaanza ujinga tiktok,kuonyesha maumbile yao huku wamepaka lips shines.
mamaJ tumetengana aisee,Bro,yule mchepuko wako vipi, now hauleti nyuzi😎
Fanya mrudiane aisee, maana mama j anakuchangamsha.mamaJ tumetengana aisee,
Ila naamini punde tutarudiana tu
Kwani wewe waifu material hujawahi kuwa na tutabia kama hutu!?Loh! Kumbe ndiyo wapo hivyo wadada wa tiktok
Hapana mkuu sijawahi kuwa na tabia mbaya hivyoKwani wewe waifu material hujawahi kuwa na tutabia kama hutu!?
Asante mkuu, ubarikiweBasi mororo.
Kwa ubora huo ni P^M namba yako ya M-PESA yenye Whatsapp nikutumie chochote kitu.