Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐ผ๐ฑ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ฆ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐บ๐๐ต๐ถ๐บ๐ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Zifahamu secret code muhimu ambazo zitakusaidia kuweza kutatua baadhi ya matatizo kwenye simu yako au ya rafiki yako ulizokuwa uzijui kabisa kama zinafanya Kazi.
Secret code hizi zinasaidia kuweza kuondoa baadhi ya changamoto kwenye simu za android ambazo zilikua na changamoto ya kupungua kwa ufanisi wakati Unatumia Yani labda simu nzito, intaneti inasumbua itaweza kukusaidia kutatua.
๐ก๏ธ#9900# au *##9900*#*#
Hii inakusaidia kuweza kuongeza ufanisi kwenye simu yako kama ilikua simu imekumbana na tatizo la kuwa nzito kupitiliza unaweza tumia njia hii kisha chagua neno Run dumpstate / logcat utaweza kuongeza ufanisi.
๐ก๏ธ #0# au ##0*##
Hii inakusaidia kufanya testing ya rangi ya Kioo chako na kuangalia kama kizima au Kuna sehemu ina changamoto kuanzia sehemu ambayo rangi imevuja kupitia code hii utaweza kutambua changamoto.
๐ก๏ธ *#2600#
Hii inakusaidia kuweza kujua Kama Kioo chako kina changamoto kwani itaweza kufanya update ya firmware ya Kioo chako kwa urahisi inakupa nafasi ya kujua Kioo chako (touchscreen) kina changamoto Gani.
๐ก๏ธ *#12580*369#
Inakupa nafasi ya kukupeleka setting ya kwenye simu yako kwenye mfumo wa hardware na software inakupa taarifa kamili kuhusu simu yako kuanzia kwenye hardware na software.
#secretcode #fahamuzaidi #elimu #siri #maujanja #simu