coded and horror photos thread!!!

thread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
picha ya kwanza hao ni viumbe kama malaika wana mabawa ila yamefungu(kwaiyo hawawezi kupaa), wamevuliwa nguo(kuzalilishwa), wanavidonda (wanapitia mateso), nyuso zao zinaonyesha wasiwasi(hawana waoga), chini kuna Bomba za sindano na kuna wenzao waliojiinamia tu(kupoteza matumaini).

Maana:
1: kimwili: hii inaonesha jamii ya watu waliokuwa watiifu/wenye heshima ila wakafungwa na baadhi ya vitu (madawa ya kulevya, tamaa nk) na kujikuta wanapoteza Ile heshima/hadhi Yao wapo wanaojaribu kujipa mataini (hao wawili waliokumbatiana) na wapo waliojikatia tamaa.

2. Kiroho: hapo ni watu wale waliokuwa watakatifu/watiifu Kwa Mungu ila ulimwengu ukawafungu na kuwafanya wateseke kutokana na utii wao na hapo wanaojipa matumain ya kushinda majaribu(hao waliokumbatia) na wapo waliokata tamaa ya kuyashinda majaribu (hao wa pembeni walio jiinamia)

Ngoja nimalizie ambiance yangu kwanza alafu nirudi kuangalia tena vizuri
 
.
 

Attachments

  • 294257798_387196250177183_4531438338766854457_n.jpg
    149.5 KB · Views: 46
.
 

Attachments

  • 295398122_450700370245760_6276230418896806983_n.jpg
    203.4 KB · Views: 40
.
 

Attachments

  • 296213487_5966607100051038_6989571051597662298_n.jpg
    185.5 KB · Views: 41
.
 

Attachments

  • WA-IMG-20220610-e4649edf.jpg
    21.6 KB · Views: 44
behind every successfully man there ancestors
I do believe in ancestors but kuna mda wanazingua, kuna nyakati sioni nguvu yao kwenye uhalisia wa mapito ya maisha yetu. Hii hupelekea watu wengi kukata tamaa na Imani juu yao nakupuuza ishu za Ancestors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…