Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
thread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa paninifaa sanathread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
picha ya kwanza hao ni viumbe kama malaika wana mabawa ila yamefungu(kwaiyo hawawezi kupaa), wamevuliwa nguo(kuzalilishwa), wanavidonda (wanapitia mateso), nyuso zao zinaonyesha wasiwasi(hawana waoga), chini kuna Bomba za sindano na kuna wenzao waliojiinamia tu(kupoteza matumaini).thread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
kachoka kulea wazee🤣🤣🤣😂😂 huyo bibi mbinafsi sana na wenda yeye ndio chanzo Cha jamaa kuishi mda mrefu
I do believe in ancestors but kuna mda wanazingua, kuna nyakati sioni nguvu yao kwenye uhalisia wa mapito ya maisha yetu. Hii hupelekea watu wengi kukata tamaa na Imani juu yao nakupuuza ishu za Ancestorsbehind every successfully man there ancestors