Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

Hivi hakuna ambaye yupo tayari kunisaidia nijue haya mambo? Shida nini ndugu zangu??????
- Wapi umekwama na nini unataka kujifunza?
1738645344683.png
 
CHATGPT nao wame copy from DEEPSEEK, leo wame update from thinking wao wameita reasoning. Picha hizo chini:

View attachment 3221710View attachment 3221711
Actually hawaja copy, hii feature walikuwa nayo but kwa wale wanao lipia or subscribe. Na recently wameachia 3o-mini ambayo ni bora zaidi

Difference between two mmoja anatoa free mwingine unalipia. Ni kuomba tu deepseek wasije ifanya iwe biashara , maana watarudi kule kule kwa chatgpt
 
Habari wa coding.

Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa hizi AI ambazo zinashindana kila kukicha ila CHATGPT anakosea sana kwenye coding inafika sehem hana majibu , lakini kwa huyu DEEPSEEK yuko vzuri sana kwa kuelezea namna ya kudili na prompt yako na ana andika code ndefu bila kukatakata au kokosea, na ukimwambia arekebishe akoseikosei kama CHATGPT, na sifa nyingine anayo ni kucopy code uliyompa arekebishe na modify kwenye tatizo na kuandika full code ambapo CHATGPT hafanyi hivyo.

Nipo na project ya kutengeneza bot wa ku trade crypto kwenye update wa TRIANGULAR ARBITRAGE , huyo DEEPSEEK ameandika code ambayo sijawai kuona toka nianza kutumia CHATGPT kwa topic ile ile ambayo niliuliza kwa CHATGPT.

Tatizo kubwa alilonalo DEEPSEEK kwa sasa ni kuzidiwa kwa server. Server zake ziko slow sana kutokana na kuzidiwa na request kama ilivyokuwa CHATGPT hapo awali. Usiku kuanzia saa 6 , server ziko fasta sana.

Kwa sasa natumia zote ila nimejikita sana kwenye DEEPSEEK kutokana na code zake ambazo ana andika, ziko very advanced compared to CHATGPT.

Lai yangu kwa watanzania: Tusiwe washabiki wa technolojia bila kuchua hatua ya kufikiri namna ya kutumia technolojia ya mpya kutatua changamoto za maisha(Especially financially), kwa sasa unaweza fanya chochote kinachoweza kukupa pesa kwa kutumia AI. Mfano unaweza andikia watu business pan, project proposal, research, content marketing.

Kwa watu wanaopenda entertainment unaweza tumia AI ukatunda stori za kusisimua kama stori za mapenzi, kijasusi, kutisha n.k. Pia unaweza ukajifunza namna ya kukuza biashara yako kwa kuuliza kwenye hizi AI, ni njia rahisi sana ambayo inaweza ikakusaidia kukuza biashara kwenda next level.

AI imekuja kupunguza maswali mengi ambayo unayo kuhusu fursa ambazo unazo kama ideas, unaweza uka validate your business ideas before implementing...
Not deep into coding sana, but niko the otherside. Difference hapo ni ndogo sana, chatgpt wana reasoning feature pia. Chatgpt inakupa technicql details while deepseek inashusha sababu why.

Ita depend na user anataka kipi, also some features in chat gpt ni paid
 
View attachment 3225710
Tumia njia hii
  • Pitia LM studio (hapo server ya mchina haihusiki)
  • Windsurf (Angalia picha, Natumia muda huu)
  • Pia waweza pitia AWS
- Au download na tumia offline (iwapo PC yako inamudu).
---
Windsurf:
View attachment 3223643
---
Poe:
View attachment 3223666
Habari Mwl.RCT

Umesema nikitaka kutumia DeepSeek bila "Server is busy" noise nafanyaje hapo?

Kwamba nitumie LM STUDIO? Hii ni another website/search engine/desktop application?

Na hiyo Windsurf pia ni kama option ya LM STUDIO ama ikoje.

Currently natumia Chrome kuaccess DeepSeek, napata shida sana ya server busy
 
  • Download na iweke kwenye PC yako, na tumia OFFLINE.
  • Mchakato wake kufanikisha download na kuiweka offline tazama hii video.

Umesema nikitaka kutumia DeepSeek bila "Server is busy" noise nafanyaje hapo?

Kwamba nitumie LM STUDIO? Hii ni another website/search engine/desktop application?
LM, Windsurf na AWS walichofanya ni kudownload na kufanya upload kwenye sever zao, hivyo matumizi yako ni kupitia server zao na si server za mchina.
 
  • Download na iweke kwenye PC yako, na tumia OFFLINE.
  • Mchakato wake kufanikisha download na kuiweka offline tazama hii video.
LM, Windsurf na AWS walichofanya ni kudownload na kufanya upload kwenye sever zao, hivyo matumizi yako ni kupitia server zao na si server za mchina.
Changamoto sana.

Nime download LM Studio fresh, nafungua pamoja na kuchangua LLM model (DeepSeek-R1) kila nikiandika prompt inasema eti "message contains no content". Halafu kila attempt lazima nichague tena model. hebu cheki. Ama nihamie kwenye hiyo Windsurf kama unayotumia wewe?

1738841350868.png
 
Habari wa coding.

Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa hizi AI ambazo zinashindana kila kukicha ila CHATGPT anakosea sana kwenye coding inafika sehem hana majibu , lakini kwa huyu DEEPSEEK yuko vzuri sana kwa kuelezea namna ya kudili na prompt yako na ana andika code ndefu bila kukatakata au kokosea, na ukimwambia arekebishe akoseikosei kama CHATGPT, na sifa nyingine anayo ni kucopy code uliyompa arekebishe na modify kwenye tatizo na kuandika full code ambapo CHATGPT hafanyi hivyo.

Nipo na project ya kutengeneza bot wa ku trade crypto kwenye update wa TRIANGULAR ARBITRAGE , huyo DEEPSEEK ameandika code ambayo sijawai kuona toka nianza kutumia CHATGPT kwa topic ile ile ambayo niliuliza kwa CHATGPT.

Tatizo kubwa alilonalo DEEPSEEK kwa sasa ni kuzidiwa kwa server. Server zake ziko slow sana kutokana na kuzidiwa na request kama ilivyokuwa CHATGPT hapo awali. Usiku kuanzia saa 6 , server ziko fasta sana.

Kwa sasa natumia zote ila nimejikita sana kwenye DEEPSEEK kutokana na code zake ambazo ana andika, ziko very advanced compared to CHATGPT.

Lai yangu kwa watanzania: Tusiwe washabiki wa technolojia bila kuchua hatua ya kufikiri namna ya kutumia technolojia ya mpya kutatua changamoto za maisha(Especially financially), kwa sasa unaweza fanya chochote kinachoweza kukupa pesa kwa kutumia AI. Mfano unaweza andikia watu business pan, project proposal, research, content marketing.

Kwa watu wanaopenda entertainment unaweza tumia AI ukatunda stori za kusisimua kama stori za mapenzi, kijasusi, kutisha n.k. Pia unaweza ukajifunza namna ya kukuza biashara yako kwa kuuliza kwenye hizi AI, ni njia rahisi sana ambayo inaweza ikakusaidia kukuza biashara kwenda next level.

AI imekuja kupunguza maswali mengi ambayo unayo kuhusu fursa ambazo unazo kama ideas, unaweza uka validate your business ideas before implementing...
Deepseek ina mawazo ya kikomunisti na haiko huru. Inaogopahata kusema Mao alikuwa nani huko China. Hata askari katili kama Faustine Mafwele deepseek inajifanya haimjue wakati ChatGPT inasema kabisa ni askari mwenye tuhuma za kufanya mauaji na ukatili.
 
Habari wa coding.

Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI since 2021 na nimetengeneza project kadhaa kwa kutumia CHATGPT . Coding imekuwa rahisi nowadays kwa hizi AI ambazo zinashindana kila kukicha ila CHATGPT anakosea sana kwenye coding inafika sehem hana majibu , lakini kwa huyu DEEPSEEK yuko vzuri sana kwa kuelezea namna ya kudili na prompt yako na ana andika code ndefu bila kukatakata au kokosea, na ukimwambia arekebishe akoseikosei kama CHATGPT, na sifa nyingine anayo ni kucopy code uliyompa arekebishe na modify kwenye tatizo na kuandika full code ambapo CHATGPT hafanyi hivyo.

Nipo na project ya kutengeneza bot wa ku trade crypto kwenye update wa TRIANGULAR ARBITRAGE , huyo DEEPSEEK ameandika code ambayo sijawai kuona toka nianza kutumia CHATGPT kwa topic ile ile ambayo niliuliza kwa CHATGPT.

Tatizo kubwa alilonalo DEEPSEEK kwa sasa ni kuzidiwa kwa server. Server zake ziko slow sana kutokana na kuzidiwa na request kama ilivyokuwa CHATGPT hapo awali. Usiku kuanzia saa 6 , server ziko fasta sana.

Kwa sasa natumia zote ila nimejikita sana kwenye DEEPSEEK kutokana na code zake ambazo ana andika, ziko very advanced compared to CHATGPT.

Lai yangu kwa watanzania: Tusiwe washabiki wa technolojia bila kuchua hatua ya kufikiri namna ya kutumia technolojia ya mpya kutatua changamoto za maisha(Especially financially), kwa sasa unaweza fanya chochote kinachoweza kukupa pesa kwa kutumia AI. Mfano unaweza andikia watu business pan, project proposal, research, content marketing.

Kwa watu wanaopenda entertainment unaweza tumia AI ukatunda stori za kusisimua kama stori za mapenzi, kijasusi, kutisha n.k. Pia unaweza ukajifunza namna ya kukuza biashara yako kwa kuuliza kwenye hizi AI, ni njia rahisi sana ambayo inaweza ikakusaidia kukuza biashara kwenda next level.

AI imekuja kupunguza maswali mengi ambayo unayo kuhusu fursa ambazo unazo kama ideas, unaweza uka validate your business ideas before implementing...
Huku ni kudumazwa akili Ila inarahisisha mambo pia
 
Actually hawaja copy, hii feature walikuwa nayo but kwa wale wanao lipia or subscribe. Na recently wameachia 3o-mini ambayo ni bora zaidi

Difference between two mmoja anatoa free mwingine unalipia. Ni kuomba tu deepseek wasije ifanya iwe biashara , maann
Ngoja niwahi haraka,nidownload deepseek
a watarudi kule kule kwa chatgpt
 
Nawezaje kupata namba ya nje ya simu ya USA, Canada au German? Nasikia kuna app unapata pata bure au kununua.mwenye ufahamu wa hili anisaidie
 
Hivi inachukua muda gani kujifunza haya mambo?
Prerequisites zake ni zipi?
 
Back
Top Bottom