Coding DEEPSEEK ni bora kuliko CHATGPT!

CHATGPT nao wame copy from DEEPSEEK, leo wame update from thinking wao wameita reasoning. Picha hizo chini:

View attachment 3221710View attachment 3221711
Actually hawaja copy, hii feature walikuwa nayo but kwa wale wanao lipia or subscribe. Na recently wameachia 3o-mini ambayo ni bora zaidi

Difference between two mmoja anatoa free mwingine unalipia. Ni kuomba tu deepseek wasije ifanya iwe biashara , maana watarudi kule kule kwa chatgpt
 
Not deep into coding sana, but niko the otherside. Difference hapo ni ndogo sana, chatgpt wana reasoning feature pia. Chatgpt inakupa technicql details while deepseek inashusha sababu why.

Ita depend na user anataka kipi, also some features in chat gpt ni paid
 
Habari Mwl.RCT

Umesema nikitaka kutumia DeepSeek bila "Server is busy" noise nafanyaje hapo?

Kwamba nitumie LM STUDIO? Hii ni another website/search engine/desktop application?

Na hiyo Windsurf pia ni kama option ya LM STUDIO ama ikoje.

Currently natumia Chrome kuaccess DeepSeek, napata shida sana ya server busy
 
Currently natumia Chrome kuaccess DeepSeek, napata shida sana ya server busy
  • Download na iweke kwenye PC yako, na tumia OFFLINE.
  • Mchakato wake kufanikisha download na kuiweka offline tazama hii video.
Your browser is not able to display this video.

Umesema nikitaka kutumia DeepSeek bila "Server is busy" noise nafanyaje hapo?

Kwamba nitumie LM STUDIO? Hii ni another website/search engine/desktop application?
LM, Windsurf na AWS walichofanya ni kudownload na kufanya upload kwenye sever zao, hivyo matumizi yako ni kupitia server zao na si server za mchina.
 
Changamoto sana.

Nime download LM Studio fresh, nafungua pamoja na kuchangua LLM model (DeepSeek-R1) kila nikiandika prompt inasema eti "message contains no content". Halafu kila attempt lazima nichague tena model. hebu cheki. Ama nihamie kwenye hiyo Windsurf kama unayotumia wewe?

 
Deepseek ina mawazo ya kikomunisti na haiko huru. Inaogopahata kusema Mao alikuwa nani huko China. Hata askari katili kama Faustine Mafwele deepseek inajifanya haimjue wakati ChatGPT inasema kabisa ni askari mwenye tuhuma za kufanya mauaji na ukatili.
 
Huku ni kudumazwa akili Ila inarahisisha mambo pia
 
Ngoja niwahi haraka,nidownload deepseek
a watarudi kule kule kwa chatgpt
 
Nawezaje kupata namba ya nje ya simu ya USA, Canada au German? Nasikia kuna app unapata pata bure au kununua.mwenye ufahamu wa hili anisaidie
 
Hivi inachukua muda gani kujifunza haya mambo?
Prerequisites zake ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…