Wanafunzi 137 waliodisco mwaka huu ni karibu asilimia 10% ,kati ya watu karibu 1500 .Hii inaonekana kuwa idadi ndogo kuliko iliyokua ikishuhudiwa hapo nyuma.Maengineer wengi hudosco kila mwaka ,Je ni kuwa wana upeo mdogo? masomo magumu? Je malecturer wabovu? je uonevu? Tatzo ni nini? Hata uingie una one kali sio guarantee ,COET pagumu sana jamani...........
Watu 1200 ,sawa na asilimia 80% angalau(at least) wana supplementary ,Kuna degree program moja sitaki kuitaja second year kila mtu angalau ana supplementary,hakuna aliyesalimika
Watu 1200 ,sawa na asilimia 80% angalau(at least) wana supplementary ,Kuna degree program moja sitaki kuitaja second year kila mtu angalau ana supplementary,hakuna aliyesalimika
Matatizo ya madogo kupewa mitihani ya multiple choice mpaka hisabati katika ngazi ya chini ya elimu matokeo yake mtu anatumia nguvu nyingi kujifunza vitu ambavyo alipaswa kuvijua before ku-join chuo plus na nyanga mbalimbali ambazo anafundishwa