MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 621
Wanafunzi 137 waliodisco mwaka huu ni karibu asilimia 10% ,kati ya watu karibu 1500 .Hii inaonekana kuwa idadi ndogo kuliko iliyokua ikishuhudiwa hapo nyuma.Maengineer wengi hudosco kila mwaka ,Je ni kuwa wana upeo mdogo? masomo magumu? Je malecturer wabovu? je uonevu? Tatzo ni nini? Hata uingie una one kali sio guarantee ,COET pagumu sana jamani...........