serikali imeingia hasara kubwa kutengeneza hizo noti, ghafla wanaingia gharama nyingine za kuteneneza hizo coin. Anyway bongo hii ni zaidi ya tuijuavyo. Yaani ni ajabu, unaenda benki unakutana na noti mpyaaaaaaaaa ya zamani.
itakuwa mzuka tuu tutaungana na nchi kama Uganda ambao tayari wanayo coin...lakini cjui itakuwa na madhara gani katika uchumi wetu wataalamu naomba mtujuze