Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
kwa habari nilizozipata ni kuwa serikali ina mpango wa kutengeneza koini ya jero!! ni vipi imakaaje hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa mzuka tuu tutaungana na nchi kama Uganda ambao tayari wanayo coin...lakini cjui itakuwa na madhara gani katika uchumi wetu wataalamu naomba mtujuzekwa habari nilizozipata ni kuwa serikali ina mpango wa kutengeneza koini ya jero!! ni vipi imakaaje hii?