Coke Studio ina malipo makubwa kwa wasanii wanaoshiriki?

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,927
Huwa najiuliza hawa wasanii wanaoshiriki kwenye Coke Studio wanalipwa kiasi gani? Anayejua atuambie packages wanazopata wasanii.

Natanguliza shukrani.
 
malipo yapo japo cna uhakika wanalipwaje
 
Hile nadhani ni njia ya wasanii kutafuta soko
 
Sidhani kama wanalipwa hela ya maana...nadhani wanawatafutia Connection wasanii wenyewe tu.

Yule jamaa wa Madale alivyokuwa na kiherehere angekuwa kishasema kiasi alicholipwa.
 
Sidhani kama wanalipwa hela ya maana...nadhani wanawatafutia Connection wasanii wenyewe tu.

Yule jamaa wa Madale alivyokuwa na kiherehere angekuwa kishasema kiasi alicholipwa.
Mkuu wanalipwa pesa ndefu sio mchezo.
 
Huwa najiuliza hawa wasanii wanaoshiriki kwenye Coke Studio wanalipwa kiasi gani? Anayejua atuambie packages wanazopata wasanii.

Natanguliza shukrani.
Coke studio unalipwa ela ndefu sana ila wao wanakuja kupata faida kwa kuuza izo mash up za hao wasanii n wimbo mliofanya wakat mpo coke studio unabaki kuwa mali ya coke studio n msanii hatarushiwa kutumia popote bila idhini ya coke studio

Kuna msanii toka Tz alikutana na msanii toka marekani wakafanya ngoma akadhani atakuja kuitoa km yake n akawatangazia fans zke wamefanya collabo kuja kucheki mkataba n majuto yupo anajuta hadi mda huu y hakutumia fursa
 
Mkuu yule jamaa wa Madale asingeweza kutunza hiyo siri...itakuwa hawalipwi mpunga wa maana ni kuwatafutia connection tu.
Connection gani wakati ngoma zote zilizofanywa coke studio zinabaki kuwa mali ya coke studio n wanaziuza wao
 
Connection gani wakati ngoma zote zilizofanywa coke studio zinabaki kuwa mali ya coke studio n wanaziuza wao
Wanapata chance ya kujuana wanafanya collaborations badaye.

Eg:
Johmakini + Chidma
Yemi Alade + Saut Sol
Diamond + Neyo
......
 
Mkuu yule jamaa wa Madale asingeweza kutunza hiyo siri...itakuwa hawalipwi mpunga wa maana ni kuwatafutia connection tu.
Ni msanii gani amewahi kupata Connection kupitia Coke studio ?

Jaydee, Shaa, wote wamekuwemo mbona hatuoni hizo connection ?

N a kama lengo lingekuwa ni connection kwanini wasingekuwa wanakutanisha mameneja wao badala ya wasanii ?

Na kama huwa ni connection maprodyuza kama kina Nahreeh huwa wanaenda kufanya nini ?
 
Huyo jamaa sijui ana akili gani?

Alivyokosa akaanza kusema lengo lake siyo kufanya Collabo, yeye anafanya muziki wake.

Mara ghafla kakimbia kufanya collabo na Mnaijeria MI baada ya kutaka kubembelezwa na Davido ili wafanye collabo , davido naye kapiga kimya - ikawa kila mtu buyu buyu.

Baadaye akasema yeye muziki wake ni mkubwa kuliko tuzo, hata mwaka haujaisha klilia Tuzo za BET na matusi juu kwa Wizkidayo ili apewe yeye.

Kama hiyo haitoshi "Ameenda EATV amechukua fomu za kugombea tuzo za EATV AWARDS ili angalau apate Tuzo na yeye.

Dunia ina mamboooooo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…