Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari umeshapanic.coke ni kampuni kubwa sana duniani ila malipo ya Coke Kenya anapoendaga Ally kiba na Malipo ya Coke SA alipo Domo ni tofauti
Kwani ipi wanalipa sana ?Tayari umeshapanic.
Mkuu wanalipwa pesa ndefu sio mchezo.Sidhani kama wanalipwa hela ya maana...nadhani wanawatafutia Connection wasanii wenyewe tu.
Yule jamaa wa Madale alivyokuwa na kiherehere angekuwa kishasema kiasi alicholipwa.
Mkuu yule jamaa wa Madale asingeweza kutunza hiyo siri...itakuwa hawalipwi mpunga wa maana ni kuwatafutia connection tu.Ndiyo wanalipwa ghali sana ila mkataba ni siri.
Coke studio unalipwa ela ndefu sana ila wao wanakuja kupata faida kwa kuuza izo mash up za hao wasanii n wimbo mliofanya wakat mpo coke studio unabaki kuwa mali ya coke studio n msanii hatarushiwa kutumia popote bila idhini ya coke studioHuwa najiuliza hawa wasanii wanaoshiriki kwenye Coke Studio wanalipwa kiasi gani? Anayejua atuambie packages wanazopata wasanii.
Natanguliza shukrani.
Connection gani wakati ngoma zote zilizofanywa coke studio zinabaki kuwa mali ya coke studio n wanaziuza waoMkuu yule jamaa wa Madale asingeweza kutunza hiyo siri...itakuwa hawalipwi mpunga wa maana ni kuwatafutia connection tu.
Wanapata chance ya kujuana wanafanya collaborations badaye.Connection gani wakati ngoma zote zilizofanywa coke studio zinabaki kuwa mali ya coke studio n wanaziuza wao
Ni msanii gani amewahi kupata Connection kupitia Coke studio ?Mkuu yule jamaa wa Madale asingeweza kutunza hiyo siri...itakuwa hawalipwi mpunga wa maana ni kuwatafutia connection tu.
Huyo jamaa sijui ana akili gani?Coke studio unalipwa ela ndefu sana ila wao wanakuja kupata faida kwa kuuza izo mash up za hao wasanii n wimbo mliofanya wakat mpo coke studio unabaki kuwa mali ya coke studio n msanii hatarushiwa kutumia popote bila idhini ya coke studio
Kuna msanii toka Tz alikutana na msanii toka marekani wakafanya ngoma akadhani atakuja kuitoa km yake n akawatangazia fans zke wamefanya collabo kuja kucheki mkataba n majuto yupo anajuta hadi mda huu y hakutumia fursa